Mwongozo wa Kitabibu wa Jinsi ya Kuacha Uvutaji Sigara na Ushauri wa Mvutaji Mstaafu

ISBN: 978-1-4769-2105-1

Category: Education,  Health,  Self Help

Keywords: QUIT SMOKING, HEALTH, CIGARETTE, SIGARA, AFYA, TANZANIA, SWAHILI

Published: 06/06/2016

Views: 2634

Words: 6,497

Rating:

Mwongozo wa Kitabibu wa Jinsi ya Kuacha Uvutaji Sigara na Ushauri wa Mvutaji Mstaafu

By

Kitabu hiki ni mwongozo wa kitabibu wa jinsi ya kuacha uvutaji wa sigara. Pia kina maelezo yangu kama mvutaji sigara mstaafu, jinsi nilivyomudu kuacha tabia hiyo baada ya kujihusisha nayo kwa zaidi ya miaka 20. Kwa kifupi, kitabu kinaeleza kwa kina kuhusu uvutaji wa sigara na athari zake, kiafya na kiuchumi, na kutumia mbinu za kitaalamu (kitabibu) na uzoefu binafsi kusaidia jinsi ya kuacha uvutaji wa sigara.

Kbook iPad Reader Mwongozo wa Kitabibu wa Jinsi ya Kuacha Uvutaji Sigara na Ushauri wa Mvutaji Mstaafu

Read it on any Device that supports ePub

Buy to read on eBook Tablet

$1.99

Kbook Mobile Reader

About the Author

Oct 04, 2015

Mwandishi wa kitabu hiki, Evarist Chahali, ni Mtanzania mwenye makazi yake jijini Glasgow, Uskochi, na anajitambulisha kama mwanaharakati wa mtandaoni (e-activitist) katika masuala ya haki za kijamii. Ni mhitimu wa Shahada ya kwanza katika Sosholojia (BA in Sociology) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania, Shahada ya Uzamili katika Stadi za Vita (Master of Letters in War Studies) na Shahada ya Uzamili katika Utafiti wa Siasa (Master of Research in Political Research) alizopata katika Chuo Kikuu cha Aberdeen, Uskochi, ambapo bado anaendelea na Shahada ya Uzamifu katika Stadi za Siasa (PhD in Political Studies – Part-Time).
Kwa zaidi ya miaka 10, amekuwa akiandika makala katika magazeti mbalimbali nchini Tanzania, ambapo huko nyuma aliandikia magazeti ya ‘Kulikoni’ na ‘Mtanzania,’ na kwa sasa ni mwandishi wa makala katika gazeti la kila wiki linaloongoza nchini Tanzania, la ‘Raia Mwema. Kadhalika, mwandishi anamiliki blogu ya ‘Kulikoni Ughaibuni’ iliyoanzishwa mwaka 2006.

Awali, mwandishi alikuwa Mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Ecknforde, Tanga, Tanzania kabla ya kujiunga na utumishi serikalini katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri wa Munngano wa Tanzania. Hivi sasa, licha ya kuendelea na masomo yake ya Shahada ya Uzamifu (part-time) anajihusisha ushauri wa masuala ya intelijensia (intelligence consultancy).

> More about the Author

Recommended Books Arrow

Similar Books

Discussion - 0 comment

About Kbuuk

  • Our Story

    Inspired by the past and excited for the future, Kbuuk charges ahead.

  • Our Manifesto

    Kbuuk empowers authors worldwide. Come see what empowers us!

  • The Team

    Meet the Team. Find out who is behind every line of code.

Find out first:

Kbuuk Reader